Ligi kuu ya NBC, leo Januari 17, 2022, moto unawaka Uwanja wa Sokoine Mbeya kati ya Wenyeji Mbeya City na Mabingwa Watetezi Simba Sc. Mpenja TV tuko hapa Mbeya kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MbeyaCityVsSimbaSc #SimbaSc #MbeyaCity #NBCPremierLeague #MpenjaTV