Content removal request!


VITUKO VYA MACK YANGA NA KIGELEGELE BAADA YA KUSHINDA MECHI DHIDI YA POLISI TANZANIA

Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Januari 23, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ambapo wenyeji Polisi Tanzania FC wanakabiliana na Vinara Yanga SC. Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo Jijini Arusha kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #PolisiTanzaniaVsYanga #PolisiTanzania #YangaSC #NBCPremierLeague #MpenjaTV