🙌🔥🔥🔥Mambo ni Moto Kuelekea mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya mwenyeji Mtibwa Sugar🎋dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc 🦁ambao utapigwa Uwanja wa Manungu Complex Januari 22/2022. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba Sc Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao kuelekea mchezo huo... Fungua Video hii kupata Habari Kamili.. #MtibwaSugarVsSimbaSc #MtibwaSugar #SimbaSc #ManunguComplex #MpenjaTv