SEMAJI LA SIMBA AHMED ALLY LATAMBA BAADA YA KUIBANA US GENDERMERIE/MATOKEO HAYAJI KAMA NDONDOKELA by @Mpenja TV - Post Details

SEMAJI LA SIMBA AHMED ALLY LATAMBA BAADA YA KUIBANA US GENDERMERIE/MATOKEO HAYAJI KAMA NDONDOKELA

kutoka Niger, Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally amezungumza na Mpenja Tv Mara baada ya kutoa Sare dhidi ya Us Gendarmerie ya Nchini Humo. . Ahmed ameongea na Wanasimba kuwa, kile walichowatuma wamekitimiza. . Na sasa Simba wanakwenda kuchanga Karata Yao nyingine dhidi ya RS Berkane ya Morocco. . Fungua Video hii kupata undani wa habari hii. #MpenjaTv

Similar Posts!