Ligi kuu ya NBC, Leo Februari 23, 2022, Moto Utawaka🔥 Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro kati ya Wenyeji Mtibwa Sugar na Mabingwa Wa Kihistoria Yanga Sc. Mpenja TV tuko hapa Morogoro kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MtibwaSugarVsYangaSc #MtibwaSugar #YangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV