WAFAHAMU US GENDARMERIE WAPINZANI WA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA/WACHEZAJI HATARI HAWA HAPA.. by @Mpenja TV - Post Details

WAFAHAMU US GENDARMERIE WAPINZANI WA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA/WACHEZAJI HATARI HAWA HAPA..

Kikosi cha Simba SC kimeondoka nchini jana jioni Februari 18 kuelekea Niger kuwakabili wapinzani wao katika kombe la Shirikisho barani Afrika Gendarmerie. Mchezo wa kwanza, Gendarmerie walipoteza ugenini kwa kufungwa magoli 5-3 dhidi ya RS Berkane ya Morocco, huku Simba Sc wakiibuka na Ushindi nyumbani wa 3-1 mbele ya Asec Mimosas ya Ivory Coast. Mpenja Tv tumekuletea Uchambuzi wa Viwango kuwahusu wapinzani wa Simba Us Gendarmerie ambao umefanywa na Mchambuzi Boraa kabisa wa Soka la Afrika Gharib Mzinga Fungua Video Hii kupataa habari kamili…. #SimbaSC #USGendarmerieVsSimba #CAFCC #MpenjaTV

Similar Posts!