ALLY KAMWE: PWAGU WANAOMBOLEZA/HAWAPO SAWA/SISI TUNACHEKELEA TU/5G YA AZAM INAWAHUSU/CHUMA KIPYA... by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE: PWAGU WANAOMBOLEZA/HAWAPO SAWA/SISI TUNACHEKELEA TU/5G YA AZAM INAWAHUSU/CHUMA KIPYA...

Kikosi cha Yanga SC kimerejea Dar es salaam kikitokea Jijini Dodoma baada ya kupata Ushindi dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, siku ya Disemba 24 katika Dimba la Jamhuri Meneja habari na Mawasiliano Ally Kamwe amezungumza mipango yao baada ya kurejea Dar es salaam kuelekea Michezo ya Mapinduzi Cup.

Similar Posts!