Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU

Mashabiki wa Yanga Sc Leo July 1,2024 wamefanya hamasa ya kuzunguka na kuimba mara baada ya siku ya Leo Timu hiyo kumtambulisha aliekuwa mchezaji wa Simba Sc clatous chota chama.

AHMED ALLY" TUKIMUACHA CHAMA TUTAKUJA KUJUTIA/HAWANA UWEZO WAKUMCHUKUA/SIMBA DAY TUNASHUSHA MASHINE

Klabu ya Simba SC kupitia kwa mashabiki wake Leo June 30,2024 wamefungua Tawi la Timu hiyo lililopewa jina la Mpira burudani maeneo ya Kigamboni Mbutu kichangani,hafla hiyo iliyohudhuriwa na Msemaji wa Simba SC Ahmedy ally ambae ndio alikuwa mgeni Rasmi

ALLY KAMWE AWEKA WAZI SUALA LA KUFUNGIWA KUSAJILI/YANGA TUNA MADENI MAKUBWA MATATU/CHAMA BALAA TUPU

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe akizungumza mipango ya kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mabingwa wapya wa soka kutoka Safari lager,utakaochezwa Juni 29,2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia ameeleza lengo la kuwaleta Wachezaji wao wa Zamani kuzungumza na Mabingwa hao wapya wa Soka.

ALLY KAMWE" USAJILI AMBAO TUMEUFANYA WATALIA MACHOZI NA KUSAGA MENO/MASHABIKI WA SIMBA TUNAWAPOKEA

Leo June 15,2024 Klabu ya Yanga inazindua Kitabu cha Historia yao toka kuanzishwa kwake Februari 11,1935. Uzinduzi huo unafanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

ALLY KAMWE" PACOME,CHAMA,DUBE WANACHEZA TIMU MOJA/TUKIFUNGWA NAJIUZULU TIMU JOBU/KIBWANA KAPOA

Leo Juni 14 Ally Kamwe,Kibwana,Job, na kamati nzima ya Wape Tabasamu wamezungumza kuelekea Mchezo wa Wape Tabasamu 2024 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri

ENG HERSI SAID AWAPA POLE JOB,KIBABAGE,MSHERY KWA KUIFUNGA MTIBWA/WAKATAFUTE ALAMA TATU KWINGINE

Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.

Highlights

UTACHEKA MSIKIE MC PETIT AIBUKA NA JIPYA/"TUMFICHE CHAMA CHELSEA WASIMUONE/SIMBA TUNA MATOKEO MANNE"

Moto Utawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Mchezo Mkubwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Horoya AC ...

ISSA AZAM: "STAREHE YA LEO SIMBA WANANIDAI/CHAMA ANAJISIKIA VIBAYA/ANAWALAZA SANAA"

KOCHA ROBERTINHO AMPIGIA SALUTI CHAMA/"KUFUNGA GOLI 7 SIO KWA KILA TIMU/AWATAJA TSHABALALA/KAPOMBE

EEEEH!! SIMBA LEO IKIFUNGWA NAMPA MKE WANGU TALAKA/NDOA INASIKU NNE TU/BADO CHANGA...

LITAKUFA JITU LEO! SIMBA SC, HOROYA AC WALIVYOWASILI KWA MKAPA/CHAMA ANAOGOPEKA...

#LIVE: HALI ILIVYO/SIMBA VS HOROYA AC/SHABIKI WA YANGA AYAKANYAGA KWA MKAPA AWEKA MTU KATI

IHEFU WAGUMU BADO YEYE/HILI KOMBE TUNACHUKUA HATUACHI/BURUDANI HAZITOLEWI UGENINI

Afisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC Hasheem Ibwe amezungumza kuhusu dro ya kombe la Azam Sports Federation hatau ...

ALLY KAMWE AMLIPUA MSEMAJI GEITA GOLD/"WAMEKUFA KIFO KIBAYA/NABI AKIFIKIRIA UMEKWISHA/LOMALISA BALA"

Hii ni kutoka Ulipo Uwanja wa Azam Complex,Chamazai ambako inachezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga Sc ambao ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports