Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Matangazaji wa mpira miguu nchini Tanzania Baraka Mpenja amefanya Mahojiano na Mpenja Tv na kuzungumzia kuhusu usajili uliofanywa na timu za Tanzania,huku akifanya majaribio namna atakavyoitangaza Derby ya Kariakoo
Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Mpenja Tv,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya, Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mhe. Said Othman Yakubu amemkabidhi Rais wa Shirikisho la Mpira ...
Uganda "The Cranes" Wamefika Tanzania kutokea Misri ambapo walitumia kama Ardhi ya Nyumbani kwenye Mchezo dhidi ya ...
Mdau wa Soka Fredy Kweka maarufu kwa jina la Mwalimu Yanga akimwaga tambo zake kuelekea Mchezo wa Marudiano wa ...
Kuelekea Mchezo wa kutafuta Tiketi ya kufuzu AFCON Nchini Ivory Coast ambapo Tanzania itakipiga dhidi ya Uganda ikiwa ni ...
Nyota wa Klabu ya Us Monastir Hisam Bakari akikiri kupata Upinzani Mkubwa dhidi ya Yanga Sc hapo Jana kilichopelekea ...
Leo hii Tarehe 20 Machi Klabu ya Singida Big Stars Kupitia kwa Mtendaji Mkuu John Kadutu wamesaini Mkataba wa Ushirikiano ...
Leo March 19 2023,Yanga SC anamkaribisha US Monastir kutoka Nchini Tunisia Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...
Leo March 19 2023,Yanga SC anamkaribisha US Monastir kutoka Nchini Tunisia Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...