ALLY KAMWE" PACOME,CHAMA,DUBE WANACHEZA TIMU MOJA/TUKIFUNGWA NAJIUZULU TIMU JOBU/KIBWANA KAPOA by @Mpenja TV - Post Details
ALLY KAMWE" PACOME,CHAMA,DUBE WANACHEZA TIMU MOJA/TUKIFUNGWA NAJIUZULU TIMU JOBU/KIBWANA KAPOA
Leo Juni 14 Ally Kamwe,Kibwana,Job, na kamati nzima ya Wape Tabasamu wamezungumza kuelekea Mchezo wa Wape Tabasamu 2024 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri