ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU by @Mpenja TV - Post Details
ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU
Mashabiki wa Yanga Sc Leo July 1,2024 wamefanya hamasa ya kuzunguka na kuimba mara baada ya siku ya Leo Timu hiyo kumtambulisha aliekuwa mchezaji wa Simba Sc clatous chota chama.