Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Tazama magoli yote matano ya Yanga waliyofunga kwenye mchezo wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Copco FC. Wafungaji ni Shekhan Ibrahim, Prince Dube, Maxi Nzengeli, Duke Abuya na Mudathir Yahya.
#TWPL Tazama magoli ya Simba SC yaliyopatikana ndani ya dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025 kati ya Mlandizi Queens dhidi Simba Queeens; huku Asha Djafari na Jentrix Shikangwa... wakipiga Hat-trick katika mchezo huo. #TanzaniaWomensPremierLeague #LigiKuuWanawake #TWPLUpdates #MlandiziQueens #SimbaQueens #MlandiziSimba
Timu ya taifa ya Zanzibar… #ZanzibarHeroes imeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 kwa kuichapa Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Dimba Gombani, Pemba. Zanzibar walitangulia kupata bao dakika ya 41 kwa kisigino cha Ibrahim Hamad Hilika, kisha Burkina Faso wakachomo dakika ya 69 kupitia kwa Aboubacar Traore…. Lakini dakika za majeruhi, Hassan Ali Cheda akafunga la pili na la ushindi kwa Zanzibar.
#CAFCL “Warabu watakwenda kuitapika Benjamin Mkapa” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiuzungumzia mchezo wao wa Januari 18, 2025 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger. Ni mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika (CAFCL) huku akiwaita mashabiki kubeba vichinjio vyao. Yanga jana Jumapili ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan na kufikisha alama saba huku MC Alger ikiwa na alama nane. Mdchi hiyo utaishuhudia LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeague
Timu ya Yanga Veteran imefanikiwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii ya Ligi ya Maveterani Tanzania #TanzaniaVeteranLeague (TVL) baada ya kuichapa Simba Veteran kwa penati 4-2, kufuatia suluhu ndani ya dakika 90. Mechi imepigwa kwenye Dimba la KMC, Mwange Dar es Salaam...
Waandishi wa habari waandamizi wa nchini Tunisia, Umaima Jubeli kutoka Radio Express FM na Hosni Gharbi wa Tunisia Press Agency waimwagia sifa Simba SC kuelekea mechi ya leo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini humo. Ni mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika na itapigwa leo Jumapili ya Januari 5, 2025 saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #SimbaSC #CSSfaxien #CAFCC #SimbaTunisia
Yanga imekuwa timu ya kwanza kushinda 5-0 kwenye ligi kuu msimu huu, wakiwachakaza Fountain Gate FC kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Pacome Zouzoua aliyefunga mawili, Mudathir Yahya, Jackson Shiga aliyejifunga na Clement Mzize dakika ya 88. haya hapa magoli yote...
Tazama highlights, Mtibwa Sugar ikiwaadhibu ndugu zao Kagera Sugar kwa kichapo cha mabao 3-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC ...
Azam TVGoli pekee kutoka kwa Edwin Balua limeipa Tanzania Prisons ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ...
Goli moja pekee kutoka kwa Collins Opare lilitosha kuwapa Dodoma Jiji ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Namungo FC na kufufua ...
Tazama Maandalizi ya kikosi cha Azam FC kikianza na Coastal Union ikiwa ni maandalizi kuivaa Yanga SC Juni 12, 2023 ...
NBCPL Magoli mawili ya Singida Big Stars…. Wauaji ni Bruno Gomes na Medie Kagere… . FT: Singida BS 2-1 Ruvu Shooting.
Goli la matumaini kwa Dodoma Jiji kama lilivyotiwa nyavuni na Collins Opare; Hili ni goli la tisa kwake kwenye ligi kuu msimu ...
SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa ...
Prince Dube na Idris Mbombo kila mmoja amefunga goli lake la nane msimu huu, wakiipa Azam FC ushindi wa 2-0 katika mchezo ...