Waandishi wa habari waandamizi wa nchini Tunisia, Umaima Jubeli kutoka Radio Express FM na Hosni Gharbi wa Tunisia Press Agency waimwagia sifa Simba SC kuelekea mechi ya leo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini humo. Ni mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika na itapigwa leo Jumapili ya Januari 5, 2025 saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #SimbaSC #CSSfaxien #CAFCC #SimbaTunisia