#CAFCL “Warabu watakwenda kuitapika Benjamin Mkapa” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiuzungumzia mchezo wao wa Januari 18, 2025 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger. Ni mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika (CAFCL) huku akiwaita mashabiki kubeba vichinjio vyao. Yanga jana Jumapili ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan na kufikisha alama saba huku MC Alger ikiwa na alama nane. Mdchi hiyo utaishuhudia LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeague