Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Fabrice Ngoma amefunga goli pekee na la ushindi, Simba ikiitandika Singida Black Stars bao 1-0 nyumbani kwao kwenye Dimba la Liti.... Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Goli pekee la mkwaju wa penati dakika za nyongeza limeipa Simba alama tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Mfungaji wa goli ni Jean Charles Ahoua....
Beki Ibrahim Hamad Abdullah Bacca amefunga magoli mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Magoli mengine kwenye mchezo huo yametoka kwa Prince Dube na Clement Mzize ambaye ndiye aliyefungua ukurasa wa mabao....
Hatimaye Simba imevunja mwiko wa kutopata ushindi kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar, baada ya leo kuitandika magoli 5-2, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania. Magoli ya Simba yametoka kwa Shomary Kapombe 13', Jean Charles Ahoua 44', Fabrice Ngoma 53, na Stephen Desse Mukwala aliyefunga mawili dakika ya 66 na 85. Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Datius Peter dakika ya 79 na Cleophace Mkandala dakika ya 90. Ilikuwa ni mechi ambayo pia imemshuhudia kwa mara ya kwanza kiungo mpya wa Simba, Ellie Mpanzu aliyecheza kwa takriban dakika 70.
Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Mashujaa FC. Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 3-2 Magoli yote matatu ya Yanga yamefungwa na Prince Dube Magoli ya Mashujaa FC yamefungwa na Idrisa Stambuli na David Ulomi
Lionel Ateba amefunga magoli mawili na kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Tazama highlights....
Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.
Hivi ndivyo Geita Gold walivyokula kichapo cha abao 3-1 kutoka kwa Ihefu SC, katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa ...
Tazama magoli yote matatu, Mtibwa Sugar ikiwaadhibu ndugu zao Kagera Sugar kwa kichapo cha mabao 3-0, mchezo wa ligi ...
SIMBA 6-1 POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa ...
Yanga SC imechomoa mabao yote matatu baada ya kutanguliwa 3-0 na Mbeya City kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya, mechi ...
Prince Dube na Idris Mbombo kila mmoja amefunga goli lake la nane msimu huu, wakiipa Azam FC ushindi wa 2-0 katika mchezo ...
Yanga SC imechomoa mabao yote matatu baada ya kutanguliwa 3-0 na Mbeya City kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya, mechi ...
Ni matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Dar es Salaam, msafara wa timu ya Yanga wakiitikia mwaliko wa Rais Samia kwa ...
Leo ndiyo leo, Yanga wanashuka dimbani kumalizana na USM Alger katika mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho ...