Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Zimamoto 1-1 (1-3) Yanga | Penati | Muungano Cup 2025 - 29/04/2025
Zimamoto 1-1 (1-3) Yanga | Penati | Muungano Cup 2025 - 29/04/2025

#MuunganoCup2025: Tazama golikipa wa Yanga SC, Abuutwalib Mshery alivyoonesha umahiri wake katika kupangua mikwaju ya penati. Fainali ni JKU dhidi ya Yanga SC, Alhamisi Mei 1, 2025 saa 1:15 usiku FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #SuperLeague #YeNaniAsife #Zimamoto #YangaSC #ZimamotoYanga

KVZ FC 0-2 Yanga | Highlights | Muungano Cup 2025 - 26/04/2025
KVZ FC 0-2 Yanga | Highlights | Muungano Cup 2025 - 26/04/2025

Tazama matukio yote makubwa yaliyojiri kwenye mchezo kati ya KVZ dhidi ya Yanga SC kwenye Muungano Cup Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 2-0 Wafungaji ni Stephane Aziz Ki na Denis Nkane

JKU SC 2-2 (6-5) Singida Black Stars | penati zote | Muungano Cup 2025 - 24/04/2025
JKU SC 2-2 (6-5) Singida Black Stars | penati zote | Muungano Cup 2025 - 24/04/2025

#MuunganoCup2025: Mikwaju ya peanati iliyowatupa nje Singida Black Stars baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya 2-2 FT’: JKU SC 2-2 Singida BS (penati: 6-5) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #JKUSC #SingidaBlackStars

Fountain gate FC 0-4 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League - 21/04/2025
Fountain gate FC 0-4 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League - 21/04/2025

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo NBC Premier League kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 4-0 Magoli yamefungwa na Clatous Chama, Aziz Ki na Mzize ambaye amefunga magoli mawili.

Yanga SC 8-1 Stand United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 15/04/2025
Yanga SC 8-1 Stand United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 15/04/2025

Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49.

Magoli | Yanga yaiua Stand United 8-1 | Aziz Ki apiga manne | CRDB Bank Federation Cup 15/04/2025
Magoli | Yanga yaiua Stand United 8-1 | Aziz Ki apiga manne | CRDB Bank Federation Cup 15/04/2025

Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49. Haya hapa magoli yote tisa...

Azam FC 1-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 10/04/2025
Azam FC 1-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 10/04/2025

Yanga SC imelipa kisasi kwa kuitandika Azam FC mabao 2-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.... Yanga imepata mabao yake yote mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Pacome Zouzoua dakika 11 na Prince Dube dakika ya 34, huku Azam FC wakipata bao lao dakika ya 81. Tazama magoli....

Singida Black Stars 1-0 Azam FC | Highlights | NBC PL 06/04/2025
Singida Black Stars 1-0 Azam FC | Highlights | NBC PL 06/04/2025

Super Sub, Elvis Rupia amefunga goli pekee na la ushindi wa bao 1-0 kwa Singida Black Stars dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Uwanja wa Liti, Singida. Goli kwa Azam FC ni Zuberi Foba ambaye hata hivyo kabla ya goli hili la dakika ya 75, alikuwa amefanya saves kadhaa na kuzuia hatari nyingi za Singida Black Stars....

Highlights

Highlights | KMC 2-0 Mbeya City | NBCPL Play Off 16/06/2023
Highlights | KMC 2-0 Mbeya City | NBCPL Play Off 16/06/2023

Timu ya KMC FC imepindua meza kwa kuichapa Mbeya City mabao 2-0 na kufanikiwa kusalia ligi kuu kwa jumla ya magoli 3-2.

Magoli | KMC 2-0 Mbeya City | Play-Off 16/06/2023
Magoli | KMC 2-0 Mbeya City | Play-Off 16/06/2023

Timu ya KMC FC imepindua meza kwa kuichapa Mbeya City mabao 2-0 na kufanikiwa kusalia ligi kuu kwa jumla ya magoli 3-2.

Ihefu 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023
Ihefu 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023

Magoli mawili kutoka kwa Rashid Juma na Obrey Chirwa (penati) yameipa ushindi wa mabao 2-0 Ihefu SC dhidi ya Kagera Sugar ...

Mtibwa Sugar 3-1 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023
Mtibwa Sugar 3-1 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023

Mtibwa Sugar imeitandika Geita Gold FC mabao 3-1 na kubaki salama ndani ay #NBCPremierLeague baada ya kuhitimisha ...

Mbeya City 2-1 KMC | Highlights | Play Off NBC PL - 13/06/2023
Mbeya City 2-1 KMC | Highlights | Play Off NBC PL - 13/06/2023

Tazama nginjanginja za mechi ya mtoano (play off) kati ya Mbeya City dhidi ya KMC ambapo wenyeji Mbeya City wameshinda ...

Magoli | Mbeya city 2-0 KMC | Play Off NBCPL 13/06/2023
Magoli | Mbeya city 2-0 KMC | Play Off NBCPL 13/06/2023

Magoli yote yaliyofungwa kwenye mchezo wa play off (mtoano) kati ya Mbeya City dhidi ya KMC. Mbeya City imeshinda mabao ...

Mbeya City 0-1 KMC | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023
Mbeya City 0-1 KMC | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023

Tazama matukio na goli la Deogratius Anthony wa KMC wakati wakifanikiwa kupata ushindi wao dhidi ya Mbeya City. Tazama ...

Ruvu Shooting 0-1 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023
Ruvu Shooting 0-1 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023

Tazama goli la Raizin Hafidh wa Dodoma Jiji akiichakaza Ruvu Shooting kwenye mchezo wa kufunga msimu wa NBC Premier ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports