Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

#KariakooDerby |  Ramadhan Ngoda alivyoifungua Dabi ya Kariakoo ya kufungia msimu na kuamua bingwa
#KariakooDerby | Ramadhan Ngoda alivyoifungua Dabi ya Kariakoo ya kufungia msimu na kuamua bingwa

Itazame Dar es Salaam, itazame Benjamin Mkapa, watazame watani wa jadi…!!! #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #DabiYaKariakoo #HainaKipengele #YangaSC #SimbaSC #YangaSimba #WataniWaJadi

Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025
Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025

Yanga SC imeichakaza Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 5-0 kwenye mchezo wa raundi ya 29 Lig kuu ya NBC uliopigwa Sokoine Stadium, Mbeya... Pacome Zouzoua amefunga magoli mawili, huku mengine yakitoka kwa Mudathir Yahya aliyefungua milango dakika ya 31, Clatous Chama, na Israel Mwenda..

Simba SC 1-3 Singida Black Stars | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed. Cup 31/05/2025
Simba SC 1-3 Singida Black Stars | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed. Cup 31/05/2025

Magoli mawili ya Emmanuel Keyekeh na moja la Jonathan Sowah yameipa ushindi wa 3-1 Singida Black Stars dhidi ya Simba na kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank. Ni katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati Manyara ambapo Simba imepata goli lake la kufutia machozi kupitia kwa free-kick ya Jean Charles Ahoua. Kwa matokao haya, safari ya Simba imeishia hapa.... na Singida BS wanakwenda fainali kuwakabili Yanga...

Simba SC 1-0 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/05/2025
Simba SC 1-0 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/05/2025

Steven Mukwala amefunga goli pekee na la ushindi kwa Simba, dhidi ya Singida Black Stars, mchezo wa Ligi Kuuya NBC uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam.

Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 18/05/2025
Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 18/05/2025

Yanga imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa JKT Tanzania mabao 2-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Mkwakwani Stadium, jijini Tanga.... Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Prince Dube dakika ya 41 na Mudathir Yahya dakika ya 90.

Simba SC 5-1 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 08/05/2025
Simba SC 5-1 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 08/05/2025

Jean Charles Ahoua amepiga hattrick Simba ikiinyuka Pamba Jiji FC kichapo cha mabao 5-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Ahoua amefunga magoli yake dakika ya 16' kwa penati, 37' na 48' huku mawili yakifungwa na Lionel Ateba Mbida dakika ya 80 na 84. Goli pekee la kufutia machozi kwa Pamba limefungwa na Mathew Momanyi Tegis dakika ya 86....

JKT Tanzania 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2025
JKT Tanzania 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2025

Fabrice Ngoma amefunga goli pekee lililowapa Simba ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam.

Simba SC 2-1 Mashujaa FC | Highlights| NBC Premier League - 02/05/2025
Simba SC 2-1 Mashujaa FC | Highlights| NBC Premier League - 02/05/2025

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Mashujaa FC. Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 2-1. Magoli ya Simba yamefungwa na Leonel Ateba kwa mikwaju ya penati. Goli la Mashujaa limefungwa na Jafary Kibaya

Highlights

Goli na kadi nyekundu | Mbeya City 0-1 Mashujaa FC | Play-Off 24/06/2023
Goli na kadi nyekundu | Mbeya City 0-1 Mashujaa FC | Play-Off 24/06/2023

Mashujaa FC ya Kigoma imepanda daraja kucheza ligi kuu ya NBC msimu ujao kwa kuichapa na kuishusha daraja Mbeya City ...

Mashujaa FC yaiteka jiji la Mbeya kuelekea mechi dhidi ya Mbeya City
Mashujaa FC yaiteka jiji la Mbeya kuelekea mechi dhidi ya Mbeya City

Tazama namna mashabiki wa Mashujaa FC walivyotua 'kibabe' ndani ya jiji la Mbeya kuelekea kwenye mchezo wao wa mkondo ...

Highlights | Simba 0-0 Kagera Sugar | U20 Premier League 22/06/2023
Highlights | Simba 0-0 Kagera Sugar | U20 Premier League 22/06/2023

Simba U20 na Kagera Sugar U20 limepigwa pira kubwa na mechi ikamalizika bila goli pande zote mbili. Ni mechi ya ligi kuu ya ...

Highlights | Mtibwa Sugar 5-0 Mbeya City | U20 Premier League 21/06/2023
Highlights | Mtibwa Sugar 5-0 Mbeya City | U20 Premier League 21/06/2023

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vijana U20 #U20PremierLeague Mtibwa Sugar, wameianza kazi ya kutetea taji lao kwa karipio ...

Magoli ya Mtibwa Sugar 5-0 Mbeya City | U20 Premier League - 21/06/2023
Magoli ya Mtibwa Sugar 5-0 Mbeya City | U20 Premier League - 21/06/2023

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vijana U20 #U20PremierLeague Mtibwa Sugar, wameianza kazi ya kutetea taji lao kwa karipio ...

Magoli | Geita Gold 2-0 KMC | U20 Premier League 21/06/2023
Magoli | Geita Gold 2-0 KMC | U20 Premier League 21/06/2023

Geita Gold FC imeanza vema ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi kwa kuichapa ...

DAKIKA 90 || Uchambuzi  - Play-off ||  Mashujaa vs Mabeya City || Taifa Stars v Niger
DAKIKA 90 || Uchambuzi - Play-off || Mashujaa vs Mabeya City || Taifa Stars v Niger

Taifa Stars iko kwenye harakati za kuwania kufuzu kwa miachuano ya AFCON na mwishoni mwa wiki ilipata ushindi wa 1-0 ...

Highlights | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play off | Premier League/Championship 19/06/2023
Highlights | Mashujaa 3-1 Mbeya City | Play off | Premier League/Championship 19/06/2023

Timu ya Mashujaa FC ya Kigoma kutoka ligi ya Championship imeitandika Mbeya City kutoka Ligi Kuu ya NBC mabao 3-1 katika ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports