Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mashabiki wa Simba baada ya kupata ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, walijipongeza kwa kucheza kigoma nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mashabiki wa Simba baada ya kupata ushindi dhidi ya Tanzania Prison wamedai kuwa Ubingwa wa Msimu huu ni wao na ni kawaida ya watani zao Yanga kukaa kileleni lakini ni ngumu kwa wao kuchukua Ubingwa mbele ya Simba.
Maoni ya baadhi ya Mashabiki wa Yanga na Simba baada ya mchezo wao kumalizika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu hizo kutoa sare na kugawana alama moja moja kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.
Wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Jesus Moloko wakicheza muziki muda huu katika tafrija maalumu ya klabu hiyo lililoandaliwa na mdhamini wao GSM, Whitesand hotel Mbezi beach.
Shamrashamra za mashabiki wa klabu ya Simba baada ya kuibuka na ushindi leo wa bao 1 - 0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi ya NBC .
Maoni ya Mashabiki Mbalimbali Baada ya Mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Simba sc dhidi ya Polisi Tanzania katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa zamani wa YANGA SC Jerrison Tegete amaejitokeza kuitazama timu yake hiyo leo katika uwanja wa Taifa na kufunguka kuvutiwa na kiungo wa Uganda wa klabu hiyo Kharid Aucho.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo akitoa neno mchezo wa kwanza wa ligi kuu tanzania bara kati ya Mtibwa dhidi ya Mbeya kwanza.