Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

MANENO ya Eng. HERSI "Tunaweza kucheza na MAKOLO jioni..Asubui tukacheza na DADA ZAO"
MANENO ya Eng. HERSI "Tunaweza kucheza na MAKOLO jioni..Asubui tukacheza na DADA ZAO"

Rais wa klabu ya yanga akizungumza wakati alipoalikwa kwenye uzinduzi wa tawi jipya la klabu hiyo maeneno ya Sinza kwa Wajanja jijini Dar es Salaam.

FULL VIBE..!! TAZAMA walichokifanya wachezaji  YANGA baada ya kutwaa UBINGWA NBC 2021/22
FULL VIBE..!! TAZAMA walichokifanya wachezaji YANGA baada ya kutwaa UBINGWA NBC 2021/22

RASMI klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya 28 baada ya ukame wa misimu minne huku ikiwa na michezo mitatu mkononi kufuatia kuifunga Coastal Union ya Tanga mabao 3-0.

VIBE..!! Alichokifanya MANARA baada ya kuipiga SIMBA | Atandika nguo chini...
VIBE..!! Alichokifanya MANARA baada ya kuipiga SIMBA | Atandika nguo chini...

Msemaji wa Yanga Haji Manara akitandika nguo yake chini wachezaji walikajage baada ya ushindi dhidi ya Simba

LIVE..!! ONA alichokifanya MWAMNYETO kwa kocha JULIO mbele ya mashabiki wa YANGA
LIVE..!! ONA alichokifanya MWAMNYETO kwa kocha JULIO mbele ya mashabiki wa YANGA

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Kipa KAGERA SUGAR akubali mziki wa MAYELE | "Mtu wa kuchungwa sana"
Kipa KAGERA SUGAR akubali mziki wa MAYELE | "Mtu wa kuchungwa sana"

Golikipa wa klabu ya Kagera Sugar akizungumzia mchezo wao wa leo dhidi ya Yanga, ambapo ameruhusu magoli 3 na kusema kuwa mshambuliaji wa Yanga Feston Mayele ni mchezaji wa kuchungwa kwani ni mshambuliaji mzuri.

Tambo za SIMBA ULAYA | Ataka mashabiki wanyoe makwapa | "Watasema SIMBA ya TFF"
Tambo za SIMBA ULAYA | Ataka mashabiki wanyoe makwapa | "Watasema SIMBA ya TFF"

Shabiki wa simba, Msafiri maarufu kama 'Simba Ulaya' ameelezea mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza na amefunguka kuwa kikubwa wanachoitaji ni pointi tatu ndio umuhimu na sio kitu kingine.

MBEYA KWANZA walikataa goli la SIMBA | "Hakuna goli"
MBEYA KWANZA walikataa goli la SIMBA | "Hakuna goli"

Nahodha wa Mbeya Kwanza, Salum Chuku akitoa tamthmini ya bao walilofungwa dhidi ya Simba na ujumbe wake kwa mashabiki zao.

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports