Content removal request!


Mashabiki SIMBA baada ya mechi na TZ PRISON | Watambia ubingwa | Ishu ya Bocco

Mashabiki wa Simba baada ya kupata ushindi dhidi ya Tanzania Prison wamedai kuwa Ubingwa wa Msimu huu ni wao na ni kawaida ya watani zao Yanga kukaa kileleni lakini ni ngumu kwa wao kuchukua Ubingwa mbele ya Simba.