Content removal request!


SIMBA 0 - 0 YANGA || Wasikie Mashabiki SIMBA,YANGA baada ya mechi

Maoni ya baadhi ya Mashabiki wa Yanga na Simba baada ya mchezo wao kumalizika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu hizo kutoa sare na kugawana alama moja moja kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.