Wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Jesus Moloko wakicheza muziki muda huu katika tafrija maalumu ya klabu hiyo lililoandaliwa na mdhamini wao GSM, Whitesand hotel Mbezi beach.