Content removal request!


KIGOMA.! Mashabiki SIMBA, wamuimba MANARA

Shamrashamra za mashabiki wa klabu ya Simba baada ya kuibuka na ushindi leo wa bao 1 - 0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi ya NBC .