Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

THOBIAS KIFARU: "Tunastahili kulaumiana" | Atoa sababu za kocha OMOG kukaa Jukwani
THOBIAS KIFARU: "Tunastahili kulaumiana" | Atoa sababu za kocha OMOG kukaa Jukwani

Msikie msemaji wa klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru baada ya mchezo wao dhidi ya Mbeya kwanza kumalizika kwa wao kufungwa bao moja na wakali hao kutoka Mbeya.

AMWAGA MACHOZI.!! Baada ya  kupiga goli la kwanza TPL | MTIBWA vs MBEYA KWANZA
AMWAGA MACHOZI.!! Baada ya kupiga goli la kwanza TPL | MTIBWA vs MBEYA KWANZA

Kutana na William Edgar mchezaji kutoka Mbeya Kwanza, ambaye ameweka rekodi ya kupiga bao la kwanza la msimu huu wa 2021/2022 kwenye TPL

Alichokifanya HAJI MANARA baada ya mechi ya SIMBA na YANGA | Ataka kuwavaa SIMBA
Alichokifanya HAJI MANARA baada ya mechi ya SIMBA na YANGA | Ataka kuwavaa SIMBA

Tazama mwanzo, mwisho tukio la Haji Manara baadaya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga kumalizika kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

UTACHEKA...!! Tazama wachezaji wapya YANGA walivyokaribishwa | Kutoke MOROCCO
UTACHEKA...!! Tazama wachezaji wapya YANGA walivyokaribishwa | Kutoke MOROCCO

Wachezaji wapya Yanga walipotambulishwa kwa kutakiwa kucheza mziki. Hii ni kawaida kwa Yanga kila mchezaji au kiongozi wa benchi la ufundi wakijiunga tu kwa mara ya kwanza hutakiwa kucheza huku wenzao wakiwaimbia na kupiga makofi.

Mashabiki wa SIMBA waitaka YANGA Kigoma | Baada ya kuwa MABINGWA
Mashabiki wa SIMBA waitaka YANGA Kigoma | Baada ya kuwa MABINGWA

Wasikilize mashabiki mbalimbali wa klabu ya Simba baada ya mchezo wao dhidi ya Coastal Union kumalizika leo.

Sikia walichoambiwa SIMBA na MWAKALEBELA | "Tunatangulia Kigoma.."
Sikia walichoambiwa SIMBA na MWAKALEBELA | "Tunatangulia Kigoma.."

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

#LIVE: SIMBA vs YANGA | Kinachoendelea Uwanja wa Mkapa
#LIVE: SIMBA vs YANGA | Kinachoendelea Uwanja wa Mkapa

Matangazo ya moja kwa moja kutokea uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuelekea mchezo wa SIMBA NA YANGA.

Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki
Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki

Kiungo wa simba Clatous Chama akitoa shukrani kwa mashabiki wa Simba kwa kumtolea rambirambi baada ya kufiwa na mkewe wiki chache zilizopita.

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports