Content removal request!


TEGETE amkubali AUCHO | Aitabiria ubingwa YANGA | Agoma kurudi timu kubwa

Mchezaji wa zamani wa YANGA SC Jerrison Tegete amaejitokeza kuitazama timu yake hiyo leo katika uwanja wa Taifa na kufunguka kuvutiwa na kiungo wa Uganda wa klabu hiyo Kharid Aucho.