Content removal request!


ONA HAPA...!!! Mashabiki SIMBA walivyokiamsha kwa MKAPA

Mashabiki wa Simba baada ya kupata ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, walijipongeza kwa kucheza kigoma nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa.