#utopolo #simba #yanga #zanzibar Shabiki wa simba maarufu kama mzee wa utopolo akitamba na klabu ya yanga, simba wale ni wetu tumewaonea huruma tu ila asijisifu maana kule Zanzibar mapinduzi cup sitomuacha kabisa yule ni wangu tu sisi yanga hatuna presha tuna huruma sana #simba #yanga #nbc #zanzibar #mapinduzi #utopolo #shabiki #wanajangwani #wanasimba