Content removal request!


Magoli| Namungo 1-1 Biashara United. Goli la kifua, ufundi, unachezaje yachezwa!

#namungo #biashara #unachezaje Magili ya Namungo na Biashara united NI KATIKA MCHEZO WA NBC PRIMIER LEAGUE KATI YANAMUNGO FC NA BIASHARA UNITED YA MARA MAPEMA KIPINDI CHA KWANZA NAMUNGO WALIPATA GOLI LA MAPEMA KATIKA MCHEZO HUO LAKINI HALIKUWEZA KUDUMU BAADA YA KUSSAWAZISHWA NA DENNIS NKANE THE WONDER KID KUTOKAMARA BAADA YA GOLI LAKE LA KICHWA KUTIKISHA NYAVUZA NAMUNGO FC.