"ONYANGO ni DOGO JANJA TU, UTOPOLO WAJE NA MATOKEO YA KUFUNGWA" - MASHABIKI SIMBA Baada yaSimba kuipiga Kagera Sugar Mabao (2-0) katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Mashabiki wao wamewatamani watani wao wa Jadi Yanga ambao wanakutana nao jumamosi ya Novemba 7, 2020 katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KOCHA SIMBA Akataa KUIZUNGUMZIA YANGA - "NINA WASIWASI kama CHAMA, KAPOMBE WATAKUWEPO JUMAMOSI"... Baada ya Kagera Sugar kukubali kipigo cha mabao (2-0) dhidi ya Simba katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Makocha wa Timu zote mbili wamepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari na kutoa tathmini yao fupi juu ya mechi hiyo huku Kocha wa Simba Sven Vanderbroeck akizungumzia hali za wachezaji wake kuelekea mchezo wa Watani wao wa Jadi Yanga. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
ALICHOKISEMA KOCHA wa KAGERA SGR Baada ya KIPIGO Cha SIMBA - "KINACHOTUADHIBU ni MATOKEO".. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya wekundu wa Msimbazi SIMBA vs walima sukari Kagera Sugar, umechezwa katika dimba la Uhuru jijini Dar leo Novemba 04, 2020... Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakwisha, Mnyama tayari anaongoza kwa mabao (2 - 0) yaliyowekwa kimiani, moja kwa mkwaju wa penalti iliyopigwa na Nahodha, John Bocco, na lingine amefunga Said Ndemla akimalizia assisti ya Chama, mabao ambayo yamedumu kwa dakika zote 90 za mchezo huo... Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa makosa waliyofanya ndio yaliyowapa ushindi Simba na anaamini kuwa timu yake itafanya vizuri katika michezo mingine ya ligi inayokuja.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbconlinetz/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
Ruvu Shooting imeendeleza makali yake kwa mechi ya pili mfululizo dimbani Uhuru baada ya kuiburuza Coastal Union kwa jumla ya mabao 3-1, huku Mohammed Issa Banka akifunga bao la ‘kideon’ Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Fuatilia uchambuzi baada ya mechi ya Ruvu Shooting dhidi ya Coastal Union, mchezo wa VPL uliopigwa dimbani Uhuru na kumalizika kwa matokeo ya 3-1. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka MAKAO MAKUU YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) jijini Dodoma ambapo Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji (mst) Semistocles Kaijage anamkabidhi cheti cha ushindi wa uchaguzi mkuu, mgombea Urais wa CCM, John Magufuli. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
"SIMBA ni MABINGWA, CHAMA Ana UMUHIMU Wake, TULIAMUA Leo Lazima TUSHINDE" - ASHA BARAKA DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu kati ya SIMBA vs MWADUI FC zimemalizika kwa Mnyama kumaliza hasira zake kwa kuwachapa wachimba madini hao (5-0).... Mtanange huo umechezwa katika dimba la Uhuru jijini Dar, leo Oktoba 31, ambapo mabao ya Simba yamewekwa kimiani mawili na nahodha, John Bocco, mengine wamefunga Hassan Dilunga, Said Ndemla na Ibrahim Ajib... Baada ya matokeo hayo mashabiki wa Simba wameonekana kufurahi mno, kutokana na kwamba mechi mbili mfululizo zilizopita Simba wamekuwa wakipoteza hivyo kipigo walichokitoa kwa Mwadui ni kama kimewafuta machozi mashabiki wao... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Ikiwa na hasira ya kupoteza mechi mbili mfululizo, mnyama Simba ameifurusha Mwadui FC kwa jumla mabao 5-0 dimbani Uhuru kwenye mchezo wa VPL raundi tisa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz