Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi sita ilizokuwa inasaka Klabu ya Simba imeomba msamaha kwa mashabiki wao kutokana na kupitia mapito hayo magumu. Simba ambao ni mabingwa watetezi walianza kupoteza mchezo wa kwanza Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela na walipoteza pia mchezo wa pili Oktoba 26 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Uhuru. Nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa kutokana na matokeo hayo ambayo wameyapata kwenye michezo miwili mfululizo wanahitaji msamaha kwa kuwa waliteleza na kuahidi kurejea kwenye ubora katika mechi zao zijazo. "Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyoyapata ya michezo miwili iliyopita tuliteleza na tumeshateleza hatupaswi kuteleza tena. "Ahadi yetu kwetu kurekebisha makosa yetu na kurudi kwenye sura ya upambanaji mpya kwa michezo tu ijayo," amesema. Simba ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 13, imecheza mechi saba na kupoteza jumla ya pointi nane kwa kuwa imelazimisha sare moja na kushinda mechi mbili. Kinara ni Azam FC mwenye pointi 21 baada ya kucheza mechi nane ameshinda saba na kupoteza mechi moja anafuatiwa na Yanga nafasi ya tatu, pointi 19 amecheza mechi saba na ameshinda sita huku akiwa amelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SIMBA 0 -1 RUVU: Penati, vurugu na kadi nyekundu mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kuna wakati ‘Pira Birian’ likageuka kuwa ‘Pira masumbwi’ mpira ukisimama kwa zaidi ya dakika saba. Hebu tazama kilichotokea halafu nitajie wachezaji walioonesha utovu wa nidhani kwenye tukio hili. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ni katika mechi ya ligi kuu Tanzania Bara ambayo Simba wamechapwa bao 1-0 na Ruvu Shooting, kwenye Dimba la Uhuru. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING: Mnyama Simba SC leo amekutana na kichapo kingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara, safari hii wakipigwa bao 1-0 na maafande wa Ruvu Shooting baada ya kile cha 1-0 kutoka kwa Tanzania Prisons katika mchezo uliopita. Mfungaji pekee wa bao la Ruvu ni Fully Zullu Maganga dakika ya 36, mechi ikipigwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
...................................................................................................................................................... SUBSCRIBE this channel for more football updates comment ,subscribe na share kupitia link hapo chini https://youtu.be/pT2XGCENSnc
Goli pekee la Mukoko Tonombe limetosha kuipa Yanga pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania, mechi ya Vodacom Premier League iliyochezwa Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
CARRYMASTORY wakati Emmanuel Mbasha wakiwa Stejini na Adam Mchovu.
Simba SC wamewaangushia kichapo cha mabao 8-0 Singida United United katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Medie Kagere amepiga mabao manne ikiwa ni hat-trick yake ya pili msimu huu, Deo Kanda amefunga mawili, John Bocco moja na Sharaf Shiboub amefunga goli moja. Haya hapa magoli yote. #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SingidaUnited #SimbaSingida Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz