KOCHA SIMBA Akataa KUIZUNGUMZIA YANGA - "NINA WASIWASI kama CHAMA, KAPOMBE WATAKUWEPO JUMAMOSI"... Baada ya Kagera Sugar kukubali kipigo cha mabao (2-0) dhidi ya Simba katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Makocha wa Timu zote mbili wamepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari na kutoa tathmini yao fupi juu ya mechi hiyo huku Kocha wa Simba Sven Vanderbroeck akizungumzia hali za wachezaji wake kuelekea mchezo wa Watani wao wa Jadi Yanga. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline