KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021
KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021

Ihefu SC ya mkoani Mbeya imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa KMC, matokeo yaliyoishusha rasmi daraja Ihefu. Mchezo huu wa kufungia msimu umepigwa kwenye dimba la Uhuru Dar es Salaam na goli limefungwa na Charles Ilanfya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



VIDEO : TAZAMA KOSAKOSA ZA MAGOLI SIMBA VS AL AHLY,GOLI LA AL AHLY LIMESABABISHWA HIVI
VIDEO : TAZAMA KOSAKOSA ZA MAGOLI SIMBA VS AL AHLY,GOLI LA AL AHLY LIMESABABISHWA HIVI

Mechi tamu ambayo timu zimeonyesha ubora mpaka filimbi ya mwisho, huwezi kujutia kwanini ulichelewa kulala kama umeshuhudia mechi hii katika dakika zote. Ilikuwa iko wazi kabisa kuwa ni mechi ambayo Ahly alihitaji alama 3 ili kufuta uteja baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo mbele ya Simba. Kuna kitu Gomes amekipandikiza katika fikra za wachezaji wa Simba nako ni kujua kuwa jukumu la kuzuia si la watu fulani wachache ndani ya timu. Wakati ambao Simba haina mpira unaona wachezaji wote wanafanya mikimbio ya haraka kuhakikisha kuwa wanakuwa nyuma ya Mpira. Hiki si kitu ambacho tulikuwa tukikiona huko nyuma, kwanza timu haikuwa na nidhamu hasa wanapoupoteza mpira. Wachezaji wanajigawa mafungu mawili, kuna wale ambao wanazuia na wengine wanaamini kukaba si sehemu ya majukumu yao. Leo Simba ilicheza kwa tahadhari kubwa hasa wakati ambao Ahly wanamiliki mpira, kwanza hawakukubali kuvunja umbo lao na walikubali kuwa wadogo mbele ya mpinzani. Mbele alibaki Meddie Kagere ili kusubiri mashambulizi ya haraka pale ambapo Simba itafanikiwa kuunasa Mpira. Kwa bahati mbaya tu ni kuwa mashambulizi mengi ya Simba yalizuia na Ahly baada ya kuwa compact sana katika eneo lao. Ahly ilishajua kuwa Simba ina wachezaji wawili ambao ni hatari hasa katika eneo la mbele. Kongole kwa Pitso kwa sababu mabadiliko makubwa ya kikosi aliyoyafanya yaliendana na mahitaji ya mchezo wa leo. Ahly ilifanikiwa kuua movement nyingi za Simba kwa kuzuia wachezaji wanaohusika na build up nyingi za Simba. Kwanza ni Luis, wakahakikisha kuwa hawi na madhara kwa kumnyima uhuru wa kufanya mikimbio kutokea pembeni . Wa pili ni Chama, kila aliposhika Mpira kuna wachezaji wawili walimzonga ili kuhakikisha haoni ni wapi aipeleke pasi yake ya kwanza . Kikubwa zaidi wachezaji wa Simba wanajiamini sana wakiwa na mpira, timu nyingi za Tanzania zinapokuwa ugenini huoni wakipiga pasi na kufika katika eneo la mpinzani. Heko kwa Simba, kuna muda waliiweka Ahly katika nyakati ngumu na kama wangeongeza umakini pengine wangeondoka na sare kama sio kushinda mechi kabisa. Ni nafasi moja pekee ambayo imeamua matokeo, mbali na goli hakika Ahly walipewa mechi nzuri na waliulizwa maswali magumu pia.



FAMILIA YA HAYATI MAGUFULI YAWASILI UWANJA WA UHURU KUAGA MWILI |MADEE |ZEMBWELA WAONGEA
FAMILIA YA HAYATI MAGUFULI YAWASILI UWANJA WA UHURU KUAGA MWILI |MADEE |ZEMBWELA WAONGEA

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania kwa Mfano 1 - WENYE MARADHI 2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO 3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA 4 - UBAKAJI 5 - MATUKIO YA KIKATILI 6 - AJALI 7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU 8 - WAZEE NA WATOTO ___________________________________________________________________________________ KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp ) Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.



Angalia magoli yote, Simba Queens ikiitandika Yanga Princess 3-0 Ligi ya Wanawake - 05/03/2021
Angalia magoli yote, Simba Queens ikiitandika Yanga Princess 3-0 Ligi ya Wanawake - 05/03/2021

YANGA VS SIMBA: Timu ya Wanawake ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa ligi ya wanawake uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Mwanahamisi Omary, Opah Clement na Joell Bukuru. Ushindi huu umeifanya Simba ikae kileleni ikifikisha pointi 39 huku Yanga wakibaki na pointi zao 38 katika nafasi ya pili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Simba SC vs Polisi Tanzania 2-0,Mtazame Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah
Simba SC vs Polisi Tanzania 2-0,Mtazame Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah

To watch tomorrow's episode of Maria Citizen TV Live click on the link below to SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/channel/UCjGNFTJT2RuVijbXtfbgFJw?sub_confirmation=1 #SimbaSC #PolisiTanzania #DimbaMkapa #NguvuMoja #MpasuaMsonobari Simba SC vs Polisi Tanzania - Mtazame Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah!



Simba SC vs Polisi Tanzania 2-0,Mtazame Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah
Simba SC vs Polisi Tanzania 2-0,Mtazame Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah

To watch tomorrow's episode of Maria Citizen TV Live click on the link below to SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/channel/UCjGNFTJT2RuVijbXtfbgFJw?sub_confirmation=1 #SimbaSC #PolisiTanzania #DimbaMkapa #NguvuMoja #MpasuaMsonobari Simba SC vs Polisi Tanzania - Mtazame Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiucheza wimbo wa Diamond Waah!



Highlights | Ruvu Shooting 3-0 Mbeya City - VPL 20/11/2020
Highlights | Ruvu Shooting 3-0 Mbeya City - VPL 20/11/2020

Timu ya Ruvu Shooting leo imeichapa Mbeya City kichapo cha mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Magoli yamefungwa na William Patrick, Abrahaman Mussa na Fully Zullu Maganga. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Highlights - VPL 04/11/2020
Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Highlights - VPL 04/11/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Simba SC leo wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco na Said Ndemla. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Counter Attack Goals Football  #Shot Goals  #Best Football Defending Skills  #Gareth Bale  #Golden State Warriors  #Neymar  #LeBron James  #Ronaldinho  #Los Angeles Lakers  

Popular Users

#taylorswift13  #CP3  #DanicaPatrick  #instagram  #floydmayweather  #SportsCenter  #selenagomez  #THNRyanKennedy  #TimTebow  #richarddeitsch  #geniebouchard  #TheRock  #realDonaldTrump