Content removal request!


ALICHOKISEMA KOCHA wa KAGERA SGR Baada ya KIPIGO Cha SIMBA - "KINACHOTUADHIBU ni MATOKEO"..

ALICHOKISEMA KOCHA wa KAGERA SGR Baada ya KIPIGO Cha SIMBA - "KINACHOTUADHIBU ni MATOKEO".. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya wekundu wa Msimbazi SIMBA vs walima sukari Kagera Sugar, umechezwa katika dimba la Uhuru jijini Dar leo Novemba 04, 2020... Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakwisha, Mnyama tayari anaongoza kwa mabao (2 - 0) yaliyowekwa kimiani, moja kwa mkwaju wa penalti iliyopigwa na Nahodha, John Bocco, na lingine amefunga Said Ndemla akimalizia assisti ya Chama, mabao ambayo yamedumu kwa dakika zote 90 za mchezo huo... Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa makosa waliyofanya ndio yaliyowapa ushindi Simba na anaamini kuwa timu yake itafanya vizuri katika michezo mingine ya ligi inayokuja.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline