Shabiki wa Simba maarufu 'GB 64,' ametoa mtazamo wake kuhusu maboresho ya kikosi hicho katika kipindi hiki cha usajili, akidai kuwa anatamani kusikia mshambuliaji, Pa Omar Jobe akipewa mkono wa kwa heri kwani kiwango chake kinazidi kushuka na hana mchango tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao 2024/25. Hata hivyo, anatamani kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI awe miongoni mwa mastaa wa Wekundu wa Msimbazi, huku akitamba tayari kiungo wao Clatous Chama, ameshasaini miaka miwili kuitumikia timu yao. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: https://apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Mjumbe wa Bodi ya Timu ya Simba SC kwa upande wa Mwekezaji Mohammed Dewji Mo, Crescentius Magori, amepangua hoja dhaifu za uongozi wa timu ya Coastal Union unaodai kuwa mchezaji Lameck Lawi aliyetambulishwa Simba jana bado ni mchezaji wao, na kusema wataishtaki Coastal Union FC na hiyo klabu nyingine ya nje inayomhitaji Lawi. Akihojiwa na E FM.
Simba pro tunafahamu kua Crecentius Magori yupo nchini Zambia kwaajili ya kumalizana na Joshua Mutale na Kelvin Kapumbu kwaajili ya kuboresha timu kuelekea msimu wa 2024/25 Kwa kulitambua hilo Leo tutakua tukiangazia zaidi mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Kelvin Kapumbu, Mambo ambayo yatakupa picha ni mchezaji wa Aina gani na atakuja kuisaidia vipi Simba SC? KAMA UNAHITAJI KUUNGWA KWENYE GROUP LA SIMBA PRO TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0626629644 TUWEZE KUKUPA UTARATIBU WA JINSI YA KUJIUNGA
🔴YANGA SC watangaza wachezaji WAPYA (7) walio SAJILIWA Dirisha kubwa la USAJILI 2024/2025,Ni balaa!! 🔴YANGA SC wakamilisha usajili wa fundi wa ball AGEE BASIALA AMONGO kutoka AS MANIEMA ya DR CONGO..!! 🔴YANGA na TP MAZEMBE Wabadirishana wachezaji, PHILIPE KINZUMBI atua YANGA KENNEDY MUSONDA MAZEMBE.!! 🔴YANGA wamsajili Attacking Midfielder Mwingine balaa ELIE MPANZU wa AS VITA Kutoka DR CONGO...!! 🔴MCHEZAJI mpya wa YANGA Kutoka AS MANIEMA Ya CONGO Atua Bongo mapokezi take ni balaa zitoo 🔴YANGA SC wakamilisha Usajili wa star STEVEN DESE MUKWALA kutoka ASANTE KOTOKO ya GHANA...!!! 🔴SIRI ya FICHUKA SIMBA IMEUZWA! UTAPELI wausishwa hati feki MANARA achekelea,MO KANJANJA TU,MMILIKI? 🔴Alichokisema Manara baada ya TANZANIA kuifunga ZAMBIA (1-0) kufuzu Kombe la dunia "Utashangaa" Goli la Wazir Junior 06'min, Zambia vs Tanzania (0-1) | FIFA World Cup Qualifiers | Highlights 🔴YANGA wakamilisha dili lingine la Mshambuliaji Kutoka DR CONGO MANU BOLA LABOTA wa BLACK STARS..!! 🔴YANGA wakamilisha dili la usajili la YUSUPH KAGOMA,SIMBA watoa OFFER Nono yagomewa ni balaa..!! 🔴USAJILI wa YANGA 2024/2025 ,SIMON MSUVA,CHAMA,Prunce DUBE na PHILIPE KINZUMBI, YANGA Mpya ni Balaa! Alichokisema JEAN BALEKE Baada ya Kutua BONGO Athibitisha Kusajiliwa na TIMU HII,YANGA Wanatisha..!! Breaking:KIMEUMANA SIMBA MO ajitoa mazima "HUJUMA NZITO" Kiongozi wa YANGA atajwa,wanashirikiana..!! 🔴YANGA SC watangaza orodha ya WACHEZAJI (07) WANAO ONDOKA Dirisha kubwa la USAJILI,MASTAA nao wamo.! 🔴SIO Tetesi tena kwa YANGA wakamilisha USAJILI wa SEKOU FOFANA kutoka AVRANCHES ya UFARANSA 🔴YANGA wamaliza kila kitu Bonge la STRIKER JEAN OTOS BALEKE kutua Jangwani akitokea TP MAZEMBE 🔴YANGA ya Tangaza usajili mpya CENTRAL MIDFIELDER ONOYA SANGANA Kutoka AS MANIEMA DR CONGO..!!! 🔴YANGA Yatangaza wachezaji (06) Tishio Walio SAJILIWA & (06) WANAO ONDOKA Dirisha kubwa la USAJILI.! 🔴YANGA SC Yatangaza wachezaji (06) Tishio waliosajiliwa DIRISHA KUBWA la usajili 2024/2025,MASTAA!! 🔴UTAMBULISHO wamchezaji mpya YANGA ONOYA SANGANA kutoka AS MANIEMA (20) CENTER MIDFIELDER ni balaa YANGA SC Wakamilisha USAJILI wa kinda kutoka AS MANIEMA ya DR CONGO ONOYA SANGANA (20)...!! 🔴GSM waanza upya YANGA kushusha mashine wiki hii, CHAMA Awaaga SIMBA kutua JANGWANI ni Balaa 🔴Live:Esperance de Tunis vs Al Ahly Sc | Caf champions league | FINAL LIVE STREAM-2024 |First Leg 🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kudroo na Kagera sugar (1-1), "Makolo Msimu huu wametepweta" Azam FC vs Simba Sc (0-3) | Magoli ya Kanoute,Ngoma,Duchu | Ligi kuu ya NBC Tanzania |Highlights Yanga vs Kagera Sugar (1-0), Goli la Mudathiru Yahya 82'Min | Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴YANGA waanza balaa lao KIBU DENIS Kutambulishwa Ghorofani Siku hi! RAIS Wa Yanga Afunguka,SIMBA Hoi 🔴Alichokisema Manara baada ya YANGA kuifunga MASHUJAA (1-0) "Makolo hii ndo Yanga" UBINGWA WETU 🔴YANGA yaanza balaa USAJILI Mpya Watoa SKUDU MAKUDUBELA waingiza GILBERTO MIGUEL VIEIRA ni balaa..!! 🔴MSIMAMO wa Ligi kuu ya NBC Tanzania baada ya mechi ya leo Simba dhidi ya Namungo April 30,2024...?? 🔴Breaking:TFF Watoa Tamko zito Rafu mbaya, NICKSON KIBABAGE aliyofanyiwa na CHAMA afungiwa 🔴Breaking:Kocha wa Simba Atoa Tamko baada ya kichapo kutoka kwa YANGA,Wachezaji wahusika,HUJUMA 🔴Alichokisema Manara baada ya YANGA SC kuifunga tena SIMBA SC (2-1, 7-2) "Makolo Tumewapakua Tena🤣" 🔴Live:Yanga Sc vs Simba Sc | Ligi kuu ya NBC Tanzania Darby ya Kariakoo (Mkapa Stadium) 🔴Breaking:Pigo Zito FIFA Yaifungia Timu ya YANGA SC ,sababu kubwa hizi hapa waponzwa na..!!! 🔴Alichokisema Manara baada ya YANGA kuifunga CR BELOUIZDAD Cafcl (4-0) "Zimewaponza Rangi za Jezi"🔴Live:Tanzania Prisons vs Yanga Sc | Ligi kuu ya NBC Tanzania (Sokoine Stadium) | Match Stream 🔴KOCHA GAMONDI atangaza Kikosi cha kwanza cha YANGA SC dhidi ya TANZANIA PRISONS leo ni balaa..!!!Goli la kwanza la Joseph Guede, Yanga Sc vs Mashujaa Fc (1-0) |Ligi kuu ya NBC Tanzania |Highlights🔴Live:Yanga Sc vs Mashujaa Fc | Ligi kuu ya NBC Tanzania @HightechTz #yangasc #simbasc #nbcpl #Esperance #alahly #cafcl #KageraSugarFc #simbasc #nbcpl #crbelouizdad #cafcl #nbcpl #asfc #Simbasc #nbcpl #afcon #Yangasc #Nbcpl #singidafountaingate #mapinduzicup #nbcpl #wydad_casablanca #cafcl #kipangaFc #nbcpl #ngaoyajamii #Cafcl #nbcpl #Asfc #nbcpl #ClubAfricain #cafcc #alhilal #MtibwasugarFc #MbeyaCity #Nbcpl#YangaSc #NbcPl #CAFCL #Cafcc #Cafcl #Fifa #GSM #Manara #GlobalTv #JwanengGalaxy #AzamTv #Azamsports #MpenjaTv #Bongo1Media #WasafiTv #SportsArena #WinnerMedia #HashimOnlineTv
Leo Juni 14 Ally Kamwe,Kibwana,Job, na kamati nzima ya Wape Tabasamu wamezungumza kuelekea Mchezo wa Wape Tabasamu 2024 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri
Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM akijadili kinachoedelea ndani ya timu hiyo ikiwa ni baada ya tamko la muwekezaji Mo Dewji #sportsxtra
Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv