Magoli | Yanga 5 -1 Hausung | Azam Sports Federation Cup 30/01/2024

Clement Mzize amepiga hattrick, Yanga ikiichapa Hausung kutoka Njombe, mabao 5-1 katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC Mechi imepigwa Azam Complex, na magoli mengine yametoka kwa Jonas Mkude aliyefungua kitabu dakika ya 20, pamoja na Skudu Makudubela aliyefunga goli la pili dakika ya 25. Haya hapa magoli yote...

πŸ”΄#Live: YANGA SC VS HAUSING FC - KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM (AZAM SPORTS FEDERATION CUP)

Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : https://www.facebook.com/Mbiu-ya-SautiKuu-1743739459176507/?ref=your_pages. Instagram : https://www.instagram.com/mbiuyasautikuutv/ YouTube : http://www.youtube.com/MbiuyaSautiKuuTv/

ALLY KAMWE"JOSEPH GUEDE TUTAMTAMBULISHA KESHO CHAMAZI/YANGA TUKIMJUA PACOME INATOSHA,WALIOKULA 5.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango yao na Maandalizi ya mchezo wa Januari 30,2024 wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Hausing FC ya Njombe,utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa moja usiku. Ally Kamwe amesema wataitumia siku hiyo ya mchezo kumtambulisha Mshambuliaji wao mpya Joseph Guede waliyemsajili Dirisha dogo.

πŸ”΄#LIVE:RASMI SIMBA WAFUZU FAINALI 2-3 SEMAJI LATAMBA KUICHA SINGIDA

Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani Afrika, Simba timu pekee ukanda wa CECAFA inawakilisha wakati Yanga wakiwakilisha kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. #cafconfiderationcup #sports #football #live #simbasc #nbcpremierleague #africasuperleague #jehova #jesus #christmas #jerusalem #prophetess #bbc #bbcnews #israel #fifaworldcup #fifa #cafchampionsleague #basketball #marathon #online #tbc

πŸ”΄#LIVE: RASMI YANGA WAAGA, ALLY KAMWE AVURUGWA 3-1 BILA PACOME NA AZIZ UMEIONAJE YANGA?

USAJILI SIMBA WABADILIKA/ WAGENI WAWILI KUSAJILIWA/ BENCHIKHA ACHIMBA MKWARA!/ HATAKI HOBELA HOBELA!

β€œKocha ameshatoa mapendekezo yake, lakini ni tofauti na wengi walivyokuwa wanafikiri kwani amesema apewe angalau wachezaji wawili wa kimataifa kwenye dirisha hili, lakini wawe ni wale ambao atawatumia kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, yaani hataki asajiliwe mchezaji ambaye hatatumika kwa msimu huu. β€œAnasema tageti yake kubwa ni kufika kuanzia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuendelea, hivyo itakuwa haina maana kama atasajiliwa mchezaji ambaye tayari ametumika msimu huu,” kilisema chanzo hicho. Kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka Barani Afrika β€˜CAF’, mchezaji akiwa ameshatumika kwenye michuano ya CAF msimu huu akisajiliwa na klabu nyingine inayoshiriki michuano hiyo, basi hatakuwa na nafasi ya kutumika tena kwa msimu husika. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #usajilisimbasc #simbasc #ahmedally

πŸ”΄#LIVE:KUTOKA UHURU: TAZAMA WACHEZAJI WA SIMBA WOTE NA CHAMA LEO UWANJANI
πŸ”΄#LIVE:KUTOKA UHURU: TAZAMA WACHEZAJI WA SIMBA WOTE NA CHAMA LEO UWANJANI

Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani Afrika, Simba timu pekee ukanda wa CECAFA inawakilisha wakati Yanga wakiwakilisha kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. #cafconfiderationcup #sports #football #live #simbasc #nbcpremierleague #africasuperleague #jehova #jesus #christmas #jerusalem #prophetess #bbc #bbcnews #israel #fifaworldcup #fifa #cafchampionsleague #basketball #marathon #online #tbc

πŸ”΄#LIVE:WASEMAJI WA MWAGIKA MAZITO 5G SIMBA YAKANDWA NA YANGA HIKI KINAENDLEA MUDA HUU

« Previous Next »

Popular Tags

#LeBron James  #Football Skills  #Manuel Neuer  #Best Ball Controls  #Anthony Davis  #Mesut Ozil  #Chris Paul  #Cristiano Ronaldo  #Kobe Bryant  #Best Goals Ever  

Popular Users

#TimTebow  #MichelleDBeadle  #OleksiakPenny  #SrBachchan  #SimplyAJ10  #oldhossradbourn  #DeAndre  #DwyaneWade  #BMcCarthy32  #darrenrovell  #neymarjr  #MieshaTate  #rolopez42  #realmadrid