#LIVE NOW Yanga Sc 3-2 Ndanda Fc Kipindi cha pili
#LIVE NOW Yanga Sc 3-2 Ndanda Fc Kipindi cha pili

Entertainment|Sports |Fashion & Exclusive contact with us via voicekitaatv@gmail.com http://facebook.com/voicekitaa https://www.instagram.com/voicekitaa.tv/ #YangaSc



Kocha Polisi Tanzania akiri kuzidiwa na Ndanda licha ya ushindi wa 1-0. Tazama goli la penati
Kocha Polisi Tanzania akiri kuzidiwa na Ndanda licha ya ushindi wa 1-0. Tazama goli la penati

Goli la penati kutoka kwa Marcel Kaheza lililowapa Polisi Tanzania pointi tatu dhidi Ndanda SC kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi. Kocha wa Polisi Malale Hamsini akiri kuzidiwa licha ya ushindi. FT: Polisi Tanzania 1-0 Ndanda SC #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #PolisiTanzania #NdandaSC Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote: Lipuli FC 3-3 Ndanda SC - Paul Nonga, Vitalisy Mayanga kila mmoja apiga mawili
Magoli yote: Lipuli FC 3-3 Ndanda SC - Paul Nonga, Vitalisy Mayanga kila mmoja apiga mawili

Ni katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara ulioahirishwa jana Machi 4 na kupigwa leo asubuhi Machi 5, 2020 kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa. Tazama magoli yote hapa. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'
Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mashabiki wa timu ya Simba wametamba baada ya kuwafunga Kagera bao 1-0 Uwanja wa Taifa leo Feb 18, 2020 Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 usiku Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora
Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 leo Feb 18, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Ratiba Kombe la FA: Simba Yapangwa na Mwadui, Yanga vs Prisons
Ratiba Kombe la FA: Simba Yapangwa na Mwadui, Yanga vs Prisons

LEO, Januari 10, droo ya hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho imechezeshwa na timu zilizotinga hatua hiyo zimemtambua mpinzani wake. Kombe la FA lililochini ya Azam FC iliyotwaa mbele ya Lipuli linatarajiwa kuendelea mwezi huu Januari na mechi zinatarajiwa kuchezwa kati ya Januari 24-26, 2020:- Namungo v Biashara United Mtibwa Sugar v Sahare All Stars JKT Tanzania V Tukuyu Stars Simba v Mwadui FC Yanga v Tanzania Prisons Azam FC v Friends Rangers Kagera Sugar v Might Elephant Lipuli v Kitayosa Gwambina v Ruvu Shooting African Lyon v Alliance FC Polisi Tanzania V Mbeya City Ndanda FC v Dodoma FC Majimaji v Stand United Ihefu v Gipco FC KMC v Pan Africans Panama v Mtwivila City Shirikisho La Soka Tanzania TFF Limetangaza Fainali Za Azam Federation Cup Zitapigwa Sumbawanga Mkoani Rukwa May 30 Mwaka Huu




« Previous Next »


Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Goal Celebrations  #Shot Goals  #Manuel Neuer  #Best Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Stephen Curry  #Philadelphia 76ers  #Cristiano Ronaldo  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#Drake  #BMcCarthy32  #CP3  #JasonDufner  #nytimes  #TheChristinaKim  #ATLHawks  #BaileyLAKings  #billbarnwell  #obj  #imVkohli  #nfl  #neymarjr  #BBCBreaking