SIMBA SC 2-0 NDANDA FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 31/12/2019)
SIMBA SC 2-0 NDANDA FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 31/12/2019)

Kikosi cha Simba SC kimeongeza wigo wa pointi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ndanda FC. Magoli ya Francis Kahata na Deo Kanda kwenye kila kipindi ndiyo yaliyoipa Simba SC ushindi huo huku nahodha wake John Bocco akirejea baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Simba SC itakutana na wapinzani wake wa jadi Yanga SC kwenye dimba la Taifa Januari 4 kwenye mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania.



SHABIKI NDANDA AWASHAURI YANGA- " mfano wapate kwangu"
SHABIKI NDANDA AWASHAURI YANGA- " mfano wapate kwangu"

SHABIKI NDANDA AWASHAURI YANGA- " mfano wapate kwangu" Baada ya kukamilika kwa mchezo baina ya Simba dhidi ya Ndanda leo disemba 1 Shabiki wa Ndanda aliyejitambulisha kwa jina la Rashidi Issah amewashauri mashabiki wa yanga kuelekea mechi yao Dhidi ya Simba na kusema kuwa mfano wapate kwake wasije kuzimia uwanjani GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..



DUH! DONGO LA MASHABIKI wa SIMBA kwa YANGA " JUMAMOSI KUNAMSIBA"
DUH! DONGO LA MASHABIKI wa SIMBA kwa YANGA " JUMAMOSI KUNAMSIBA"

DUH! DONGO LA MASHABIKI wa SIMBA kwa YANGA " JUMAMOSI KUNAMSIBA" Baadhi ya mashabiki wa simba wamezungumza leo baada ya ushindi wa magoli mawili kwa bila Dhidi ya Ndanda ambapo wametamba na kutupa madongo kwa wapinzani wao Yanga kuelekea mechi ya Tarehe 4 januari GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..



KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA  ni MPANGO  WANGU wa MECHI"
KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA ni MPANGO WANGU wa MECHI"

KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA ni MPANGO WANGU wa MECHI" Kocha wa clabu ya Ndanda amekana kuzidiwa na Clabu ya simba kimchezo ambapo amesema kuwa hakuzidiwa bali ilikuwa ni mpango wake wa mchezo kutokana na kwamba amekaa kwa muda mfupi sana na timu jambo ambalo ni ngumu kushindana na simba , ikumbukwe kuwa ndanda leo tarehe 1 disemba wamepoteza dhidi Simba kwa goli 1 kwa bila GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..



SENZO  BOSS WA SIMBA AONGELEA MECHI YA YANGA NA SIMBA JANUARI 4 BAADA YA KUSHINDA NHIDI YA NDANDA.
SENZO BOSS WA SIMBA AONGELEA MECHI YA YANGA NA SIMBA JANUARI 4 BAADA YA KUSHINDA NHIDI YA NDANDA.

SENZO BOSS WA SIMBA AONGELEA MECHI YA YANGA NA SIMBA JANUARI 4 BAADA YA KUSHINDA NDIDI YA NDANDA.



Shabiki NDANDA Awapa Onyo Yanga, SIMBA Hii Msije 'Mtakufa' Jumamosi
Shabiki NDANDA Awapa Onyo Yanga, SIMBA Hii Msije 'Mtakufa' Jumamosi

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Shaquille O'Neal  #Counter Attack Goals Football  #Gareth Bale  #Kawhi Leonard  #New York Knicks  #Kobe Bryant  #Paul Pogba  #Golden State Warriors  #Chris Paul  

Popular Users

#kobebryant  #Joey7Barton  #LilTunechi  #katyperry  #fauxpelini  #kevinlove  #WWE  #OleksiakPenny  #britneyspears  #JasonDufner  #Kaepernick7  #rihanna  #AntDavis23  #CMPunk