LEO, Januari 10, droo ya hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho imechezeshwa na timu zilizotinga hatua hiyo zimemtambua mpinzani wake. Kombe la FA lililochini ya Azam FC iliyotwaa mbele ya Lipuli linatarajiwa kuendelea mwezi huu Januari na mechi zinatarajiwa kuchezwa kati ya Januari 24-26, 2020:- Namungo v Biashara United Mtibwa Sugar v Sahare All Stars JKT Tanzania V Tukuyu Stars Simba v Mwadui FC Yanga v Tanzania Prisons Azam FC v Friends Rangers Kagera Sugar v Might Elephant Lipuli v Kitayosa Gwambina v Ruvu Shooting African Lyon v Alliance FC Polisi Tanzania V Mbeya City Ndanda FC v Dodoma FC Majimaji v Stand United Ihefu v Gipco FC KMC v Pan Africans Panama v Mtwivila City Shirikisho La Soka Tanzania TFF Limetangaza Fainali Za Azam Federation Cup Zitapigwa Sumbawanga Mkoani Rukwa May 30 Mwaka Huu