Aliyekua mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ameitembelea kambi ya Yanga iliyopo nchini Misri ambapo hii leo itacheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly. #mayele #yangasc #alahly #misri #ccl #musonda #yangasc #caf #ligiyamabingwaafrica #manara #hajimanara #yangasc #manaratv #ligikuu #tff #ligiyamabingwa #azamtv #azamfc #simbasc #alikamwe #ahmedally #azammedia #michezo #burudani #msimamo Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amemjibu Haji Manara kwa kile ambacho kinaonekana ni mashambulizi baina yao kwenye mitandao ya kijamaa huku Mayele akiwaandama mashabiki wa Yanga.#manara #hajimanara #manaratv #mayele #yangasc #ligikuu #tff #hersi #michezo #burudani #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ambaye aliuzwa na Klabu yake kwenda kuichezea Klabu ya Pyramida ya Misri amefunguka yote ambayo yanamsibu katika sakata lake linaloendelea kufukuta mtandaoni.#mayele #yangasc #afcon2023 #usajili #simbasc #ahmedally #alikamwe #azamfc #azamtv #michezo #burudani Endele Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango yao na Maandalizi ya mchezo wa Januari 30,2024 wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Hausing FC ya Njombe,utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa moja usiku. Ally Kamwe amesema wataitumia siku hiyo ya mchezo kumtambulisha Mshambuliaji wao mpya Joseph Guede waliyemsajili Dirisha dogo.
USIPIMEEEE, KWA MAZOEZI HAYA YA MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA FREDDY KOUABLAN MAKIPA WAJIPANGE, #simba #yanga #azamfc #simbasc #football #footballclub
Simba Vs #Cambiaso (5-2) Tazama Hat-Trick Ya Pa Omar Jone Mshambuliaji Mpya Wa #Simba #usajilimpya #ahmedally #yanga #alikamwe #hajimanara