Magoli | Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022
Magoli | Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.

Geita Gold FC 2-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 19/02/2022
Geita Gold FC 2-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 19/02/2022

Wagosi wa Kaya, Coastal Union wametandikwa mabao 2-0 na Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Nyankumbu mkoani Geita. Magoli ya Geita yamefungwa na George Mpole kwa penati pamoja na Danny Lyanga, yote yakifungwa ndani ya dakika mbili.

Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 27/12/2021
Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 27/12/2021

Penati mbili, moja ikitokea dakika ya 51 na nyingine dakika ya 80 zimefanywa wageni wawili wa ligi kuu, Geita Gold FC na Mbeya Kwanza kumaliza pambano lao kwa sare ya bao 1-1. Ni mechi ya #NBCPremierLeague iliyochezwa Desemba 27 kwenye Uwanja wa Nyankumbu Geita na kushuhudia George Mpole na Habib Kiyombo wakitikisa nyavu.

Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati
Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati

#GeitaGold #Mbeyakwanza #nbc #azamtv #mpenjatv #geita #mbeyakwanza #ligikuu Tazama Magoli ya Penati, Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza leo Tarehe 27/12/2021. Magoli yakifungwa na George Mpole dakika ya 51 na la Mbeya kwanza likifungwa na Habib Kyombo dakika ya 81.

Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021
Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2021

Timu ya Geita Gold FC leo imepata ushindi wake wa kwanza kwenye #NBCPremierLeague kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Magoli yote mawili ya Geita yamefungwa na George Mpole huku Kagera Sugar wakipata bao lao kupitia kwa Mbaraka Yussuph.

Magoli | Kagera Sugar 1-2 Geita Gold FC | NBC Premier League 20/11/2021

Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021
Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021

Tazama highlights, Geita Gold FC walivyobanwa mbavu na Mbeya City kwenye Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita na kutoka sare ya bao 1-1. Mbeya City walitangulia kwa goli la Juma Luizio na kisha Geita kusawazisha kupitia kwa super sub, George Mpole. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Kobe Bryant  #Best Goalkeeper Saves  #Football Skills  #Tristan Thompson  #Russell Westbrook  #Chris Paul  #Lionel Messi  #Michael Jordan  #Mesut Ozil  

Popular Users

#nytimes  #mcuban  #Drake  #richarddeitsch  #GNev2  #normmacdonald  #BarackObama  #BizNasty2point0  #rioferdy5  #nyt4thdownbot  #KingJames  #JoelEmbiid  #CNN  #darrenrovell  #billbarnwell