Content removal request!


Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.