LIVE: GEITA GOLD vs SIMBA - VITA ya GEORGE MPOLE na INONGA, PRESHA ya WACHEZAJI wa SIMBA.. Karibu kwenye ...
Goli pekee la George Mpole limeipa ushindi wa ugenini Geita Gold dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.
Goli pekee la George Mpole limeipa ushindi wa ugenini Geita Gold dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.
ALIYEDAIWA KUROGA KAMBI ya GEITA GOLD AKAMATWA, MPOLE AWALIZA, KIVUYO AFUNGUKA... Moja ya Shabiki anayedaiwa kuingia katika kambi ya Timu ya Geita Gold usiku wa kuamkia leo ambapo walikua wakicheza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar amekamatwa uwanjani hapo akieleza sababu ya kuingia kambini hapo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Geita Gold FC na Azam FC wametoshana nguvu kwenye Dimba la Nyankumbu Geita kwa sare ya mabao 2-2, katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Magoli ya Geita yamefungwa na George Mpole dakika ya 26 na Danny Lyanga dakika ya 82 wakati Azam waliokuwa na kazi ya kusawazisha wakipata magoli yao kupitia kwa Ismail Aziz Kader dakika ya 35 na goli la kujifunga la Chilo Mkama dakika ya 88.