MAYELE APEWA NG’OMBE: Ni baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Dimba la Manungu mkoani Morogoro. Straika wa Yanga, Fiston Mayele ambaye alikuwa ndiye mfungaji wa bao la pili, amekutana na zawadi ya ng’ombe kutoka kwa shabiki Mauya. Hili hapa tukio la makabidhiano, huku Mayele mwenye akitoa neno la shukran.
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana TBC Live : https://tbc.go.tz/wp-content/uploads/2021/11/TBC-Live-1.apk App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
SIKIA MIKWARA ya MSEMAJI wa MTIBWA SUGAR kwa YANGA - "WANAFUNGWA HAPA, TUNAZIMA MBIO ZA UBINGWA" Msemaji wa klabu ya Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, amezungumza na Global Tv online kuelekea mchezo wao wa ligi kuu bara dhidi Yanga Sc, Unaotarajiwa kupigwa leo Feb 23, 2022, katika uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
WENYEJI, Mtibwa Sugar wameambulia sare dhidi ya Mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mangunu Complex, Turiani mkoani Morogoro. Kwa Matokeo hayo Mtibwa Sugar inafikisha pointi 12 baada ya michezo 13 na kusogea nafasi ya 13, wakati Simba SC inafikisha pointi 25 baada ya michezo 12, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi saba na watani wao wa jadi Young Africans SC baada ya timu zote kucheza mechi 12. PLEASE DON'T FORGET TO SUBSCRIBE
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
Mtibwa Sugar imepata ushindi wake wa kwanza leo kwa kuitandika Biashara United mabao 2-0 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Dimba la Manungu, Turian Morogoro. Goli la kwanza kwa Mtibwa ilikuwa ni penati ya Nzigamasabo Styve huku goli la pili likiwekwa nyavuni na Said Ndemla.
Bondia Twaha Kiduku ameendeleza ubabe wake kwa kumpiga bondia Dullah Mbabe kwa point katika pambano la round 10, Dullah Mbabe alianza kwa kumuangusha Twaha Kiduku kabla ya Twaha kupindua matokeo kwa maana hiyo Twaha Kiduku sasa anaondoka na Toyota Crown kama zawadi ya ushindi huo.