TWAHA KIDUKU AMKUNG’UTA DULLAH MBABE TENA, AKATAA MATOKEO, TOYOTA CROWN INAENDA MOROGORO by @Millard Ayo - Post Details

TWAHA KIDUKU AMKUNG’UTA DULLAH MBABE TENA, AKATAA MATOKEO, TOYOTA CROWN INAENDA MOROGORO

Bondia Twaha Kiduku ameendeleza ubabe wake kwa kumpiga bondia Dullah Mbabe kwa point katika pambano la round 10, Dullah Mbabe alianza kwa kumuangusha Twaha Kiduku kabla ya Twaha kupindua matokeo kwa maana hiyo Twaha Kiduku sasa anaondoka na Toyota Crown kama zawadi ya ushindi huo.

Similar Posts!