Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” TBC Live ...
#UsajiliYanga #YangaKimataifa #SoccerData TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. CHANGIA SOCCERDATA. Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. Halopesa: 0627 532 401 Jina: Sekwao Mwendi BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania
UKWELI WA AMISHA YA BEKI WA PEMBENI WA YANGA SHIMARI KIBWANA, MAKUZI NA MALEZI YAKE KISOKA,SAFARI YAKE YA SOKA LA VIJANA, MTIBWA SUGAR HADI YANGA. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #KIBWANASHOMARI #YANGA #MOROGORO
Ni mechi ya Ligi Kuu NBC Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Coastal Union iliyochezwa Mei 15, 2022 kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani Morogoro na kumalizika kwa sare ya bila kufungana.
#Simba #KikosiKinachoanza #Shirikisho TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. CHANGIA SOCCERDATA. Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. Halopesa: 0627 532 401 Jina: Sekwao Mwendi BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania
Mtibwa Sugar wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, Manungu Complex, mkoani Morogoro imeitandika Geita Gold 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierleague. Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Nzigamasabo Styve dakika 27 na Mululi Mayanja dakika ya 76.
Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC wameipiga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye Manungu Complex mkoani Morogoro. Magoli ya Yanga yametoka kwa Saidi Ntibazonkiza dakika za nyongeza kipindi cha kwanza na Fiston Mayele dakika ya 66
Ligi kuu ya NBC, Leo Februari 23, 2022, Moto Utawaka🔥 Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro kati ya Wenyeji Mtibwa Sugar na Mabingwa Wa Kihistoria Yanga Sc. Mpenja TV tuko hapa Morogoro kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MtibwaSugarVsYangaSc #MtibwaSugar #YangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV