Simba SC jana wameondolewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya penati 4-0 dhidi ya Orlando Pirates, dakika 90 zilimalizika kwa Simba SC kufungwa goli 1-0 lakini aggregate ikawa 1-1 hive miwaju ya penati ikaamua ushindi, uchambuzi ulieleza kuwa goli alilofungwa Simba SC lilikuwa ni off side.
Simba SC leo wamewasili Afrika Kusini wakitokea Tanzania, Simba wammende Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wao wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Orlando Pirates ambapo katika mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam, Simba SC walishinda 1-0.
Simba SC imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi mnono wa magoli 4-0 dhidi ya USGN ya Niger katika mchezo uliyochezwa Benjamin Mkapa Stadium.
TANZANIA INA NAFASI NYINGINE YA KUWAKILISHWA NA TMU NNE KWENYE MICHUANO YA KIMATAIFA MSIMU UJAO WA 2022/23, KUFUATIA MWENENDO WA SIMBA SC KWENYE USHIRIKI WA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA MSIMU HUU 2022/23. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #CAF #SIMBASC #YANGASC
Simba SC imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya RS Berkane, goli ambalo limefungwa na Papę Sakho dakika ya 44 ya mchezo na kufanya wawe vinara katika msimamo wa Kundi lao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya RS Berkane, goli ambalo limefungwa na Papę Sakho dakika ya 44 ya mchezo na kufanya wawe vinara katika msimamo wa Kundi lao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
🔴#LIVE UCHAMBUZI: RS BERKANE vs SIMBA - NO MKUDE, MZAMIRU Wala BWALYA, KOCHA PABLO Afanye NINI! KIKOSI cha Simba ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kitashuka dimbani leo Kuvaana na RS Berkane kwenye mtanange wa kombe la shirikisho Afrika, huko nchini Morocco. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Goli pekee la Fiston Kalala Mayele limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC na kusonga mbele hatua ya 16 bora ya michuano ya #AzamSportsFederationCup Mechi imepigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza licha ya Yanga kuwa mwenyeji.