Simba SC leo wamewasili Afrika Kusini wakitokea Tanzania, Simba wammende Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wao wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Orlando Pirates ambapo katika mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam, Simba SC walishinda 1-0.