Content removal request!


MSUVA KATIMBA KWA MKAPA ATAJA SIRI HALI YA HEWA IMEWAATHIRI JAPO SIMBA WAKO VIZURI "UZOEFU"

Simba SC imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya RS Berkane, goli ambalo limefungwa na Papę Sakho dakika ya 44 ya mchezo na kufanya wawe vinara katika msimamo wa Kundi lao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.