Goli pekee la Fiston Kalala Mayele limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC na kusonga mbele hatua ya 16 bora ya michuano ya #AzamSportsFederationCup Mechi imepigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza licha ya Yanga kuwa mwenyeji.