AHMED ALLY ACHAMBUA GOLI LA SAKHO "HUYU SAKHO ATAUA MTU AFRIKA HII" by @Millard Ayo - Post Details
AHMED ALLY ACHAMBUA GOLI LA SAKHO "HUYU SAKHO ATAUA MTU AFRIKA HII"
Simba SC imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya RS Berkane, goli ambalo limefungwa na Papę Sakho dakika ya 44 ya mchezo na kufanya wawe vinara katika msimamo wa Kundi lao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.